*KARIBU SANA NIO PUB*
*TUPO DODOMA, MTAA WA KISASA*
*Location*
Jinsi ya kufika,unakuja moja kwa moja Hadi kisasa sheli ,unaingia ndani Mkono wa kulia ,utanyoosha moja kwa moja utavuka daraja,baada ya Daraja utanyoosha hadi mbele utaona Kuna maduka ya fremu nyingi upande wa kushoto na kulia,Wewe kata kuelekea kushoto utanyoosha hadi utaona kanisa la Anglican ambalo lipo opposite na Msikiti,njoosha utavuka bum mbele upande wa kulia Utaona *NIO PUB*
*Menu zetu*
1) *Kitimoto mbichi* (ukipenda kwenda kupika mwenyewe)=kg1 9000/=
2) *Kitimoto kavu @1kg= 10,000/=
3) *Kitimoto mbogamboga @1kg= 10,000/=
4) *Kitimoto Roast @1kg = 10,000/=
5) *Kitimoto Vuruga @1kg = 10,000/=
6) *Kitimoto Changamoto @1kg =10,000/=
7) *Kitimoto Tekenya@1kg=10,000/=
8)Kitimoto Choma (hii ni kwa Special order) @1kg= 11,000/=
*Ina liwa na Aina ya Ndizi zifuatazo*
1) *Ndizi Mzuzu
2) *Ndizi Bukoba
3) *Ndizi Mshale
*Ndizi 1 inauzwa sh.500/=*
*Pamoja na UGALI*
1) *Ugali Dona*
2) *Ugali Sembe*
3) *Ugali Sembe Dona*( Hii ni mix)
*Ugali sh.1,000/=*
*Contacts*
*+255 688114388*
*KARIBUNI UJIRAMBE*